Tatizo hii mikopo haitalipwa kama wangekuwa na JKT kama zamani, kila mtu anayekwenda JKT alikuwa anapewa Number USA unaweza kusema ni Social Security. Hiyo Number ulikuwa unaitumia pia ku-apply Vyuo Nchini Tanzania; kama hauna hiyo number pia hauwezi kupata kazi baada ya Chuo Chochote.
Hiyo Number ingeweza kuwapata watu wa sasa hivi ambao hawalipi hiyo Mikopo chuoni kwasababu iliuwa rahisi kweli kuwashika watu waliotoroka kutokwenda JKT wakati ule
Sasa Serikali ya CCM yatawatoka - Mikopo hailipwi hata kidogo