bodi mpaka sasa bado hawajakaa but only wale walofanyiwa transfer ndo adjustment ishakamilika so soon watapewa loan yaoWadau naomba niulize kuhusu wale waliokosa mkopo then wakaappeal mbona kimya?je kuna tetesi zozote kuhusiana na kupata mkopo kwa watu hao?