Nani kamkataza mtu kutimiza ndoto zake?Kila mtu na mipango yake anataka kutimiza ndoto zake
Hakika umenena vizuriWE ndugu yaani unataka unachowaza ndo kiwe sheria. Hadi unaona kitendo Cha kukopa ni......., Acha hizo tumia uhuru wako vizuri.. kila mmoja ana mtazamo wake. Leo mtu anaweza akoona ni heri kukatwa 100,000 kila mwezi Kwa Miaka saba, kuliko kukatwa 300,000 Kwa Miaka minne. Kumbuka maisha lazma yaendelee.
Mkuu ada inakutisha kuliko ribaHabar za wakati wakuu,
Nina mpango wa kuchukua mkopo Mwaka ujao (Kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu)
Ila nimestushwa kidogo na hii Ada ya loan processing fee,
Maana kuna mfanyakazi mwezangu kachukua mkopo wa 11mil Kwa miaka 8
Ila cha ajabu kakatwa laki 8 na 58 elfu,
Uki plus na riba mpaka mkopo wake kuisha anarejesha around 15mil.
Wakati yeye kapewa Kama 10.12mil
Sasa najiuliza hii Ada ya mkopo (loan processing fee) ni Kwa ajili ya nin?
Je kuna benk nzuri ambayo haina hii Ada?
Aiseee hii inaumiza
Wenye kujua sehemu sahihi (taasisi au benk) za kupata mikopo nafuu naomba atusaidie
wote sioni tofauti zao crdb na nmb in terms of costBank ambazo zina processing fee ndogo ni mbili tu wala hazina hiden costs kama Nmb ni Crdb na Nbc hao nmb unakatwa mpaka VAT ya mkopo ni noma sana
Riba yao ngapi?Jaribu hii benk ya Mwalimu Commercial Bank "MCB" Hawana kabisa hili li processing fees na riba yao pia ni rafiki. Utanipa feedback mkuu.
Hili swali sijui umeliuliza ukiwa ni mjuaji au hujui chochote, umesha sema ni mkopo, we ulikua ukijua mkopo hua hauna riba? Na kama ungekua hauna riba mkopeshaji atakukopesha Kwa faida gani sasa, wewe ni baba yake? Halafu kusema mkopo utatimiza ndoto zako hiyo ni kujidanganya, jasho lako litavuja vile vile tu kama kawaida, utakua umebadilisha muda tu wa hicho unachotaka kufanya kama ni kujenga basi utajenga mapema halafu jasho la kulipa huo mkopo utatumia muda ule ule ambao ungevumilia kujenga mdogo mdogo Kwa kipato chako hicho kidogo.Habar za wakati wakuu,
Nina mpango wa kuchukua mkopo Mwaka ujao (Kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu)
Ila nimestushwa kidogo na hii Ada ya loan processing fee,
Maana kuna mfanyakazi mwezangu kachukua mkopo wa 11mil Kwa miaka 8
Ila cha ajabu kakatwa laki 8 na 58 elfu,
Uki plus na riba mpaka mkopo wake kuisha anarejesha around 15mil.
Wakati yeye kapewa Kama 10.12mil
Sasa najiuliza hii Ada ya mkopo (loan processing fee) ni Kwa ajili ya nin?
Je kuna benk nzuri ambayo haina hii Ada?
Aiseee hii inaumiza
Wenye kujua sehemu sahihi (taasisi au benk) za kupata mikopo nafuu naomba atusaidie
%16 kwa mteja ambaye mshahara wake unapitia huko %17 Kwa ambaye mshahara wake haupitii hukoRiba yao ngapi?
Hili swali sijui umeliuliza ukiwa ni mjuaji au hujui chochote, imesha sema ni mkopo, we ulikua ukijua mkopo hua hauna riba? Na kama ungekua hauna riba mkopeshaji atakukopesha faida gani sasa, wewe ni baba yake? Halafu kusema mkopo utatumiza ndoto zako hiyo ni kujidanganya, jasho lako litavuja vile vile tu kama kawaida, utakua umebadilisha muda tu wa hicho unachotaka kufanya kama ni kujenga basi utajenga mapema halafu jasho la kulipa huo mkopo utatumia muda ule ule ambao ungevumilia kujenga mdogo mdogo Kwa kipato chako hicho kidogo.
Mikopo msiifurahie sana Ina majanga yake
Rejea kusoma ulicho andika kama kweli wewe siyo ZUZU.Acha ujuaji na kukurupuka kuna mahali nimesema mkopo usiwe na riba?