Yana mwisho hayo, kwa kifupi hasa wale wenye mishahara kiduchu hilo deni wanakufa nalo na hata mjukuu hataweza kulimaliza kama watategemea 15%ya mshahara.
Wametumia dhulma kubwa sana kwenye mikopo hiyo, penalty na retention fees ni dhulma inayofanywa na serikali hii kwa kisingizio cha kurejesha mikopo eti wawakopeshe wengine.