cataliya JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 458 Reaction score 361 Jul 15, 2013 #1 Kwa ushauri jinsi ya kuchukua mikopo, wapi na wakati gani? na matumizi sahihi ya mikopo pls tuwasiliane!!!!! Kinga ni bora kuliko tiba..... 0787 090916 KOPA KWA SABABU MAALUM TU!!!!!!!
Kwa ushauri jinsi ya kuchukua mikopo, wapi na wakati gani? na matumizi sahihi ya mikopo pls tuwasiliane!!!!! Kinga ni bora kuliko tiba..... 0787 090916 KOPA KWA SABABU MAALUM TU!!!!!!!
S Sirpartsons Member Joined Jul 9, 2013 Posts 25 Reaction score 5 Jul 15, 2013 #2 Kuna mikopo inatolewa na moja ya wizara nchini haina riba utakuwa na tarifa zake
S Silicon Valley JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 1,092 Reaction score 1,119 Jul 15, 2013 #3 cataliya said: Kwa ushauri jinsi ya kuchukua mikopo, wapi na wakati gani? na matumizi sahihi ya mikopo pls tuwasiliane!!!!! Kinga ni bora kuliko tiba..... 0787 090916 KOPA KWA SABABU MAALUM TU!!!!!!! Click to expand... shukrani mkuu kwa huduma yako, kwa nia nzuri ili kutujengea imani na ili kuelewa tunatoa siri zetu nyeti za biashara zetu KWA NANI ? ? ni bora utuwekee CV yako yenye Qualification husika
cataliya said: Kwa ushauri jinsi ya kuchukua mikopo, wapi na wakati gani? na matumizi sahihi ya mikopo pls tuwasiliane!!!!! Kinga ni bora kuliko tiba..... 0787 090916 KOPA KWA SABABU MAALUM TU!!!!!!! Click to expand... shukrani mkuu kwa huduma yako, kwa nia nzuri ili kutujengea imani na ili kuelewa tunatoa siri zetu nyeti za biashara zetu KWA NANI ? ? ni bora utuwekee CV yako yenye Qualification husika
cataliya JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 458 Reaction score 361 Jul 16, 2013 Thread starter #4 Nimetoa contacts kwa kususdi hilo!!!!! everything ni private na inabaki kuwa siri kati ya kampuni na mteja tu??????
Nimetoa contacts kwa kususdi hilo!!!!! everything ni private na inabaki kuwa siri kati ya kampuni na mteja tu??????