Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,913
Habari wadau wa elimu jukwaa hili limekuwa msaada kwa wanafunzi wengi sana wenye shida mbalimbali.baada ya tatizo LA code kuisha limeibuka changamoto ya asilimia ngapi MTU anapewa kutoka HESLB maana walala hoi kama sisi ambao tupo katavi huku ndo tunategemea tujue asilimia ndo tuende udom. Sasa habari njema ni kwamba nimepokea SMS kutoka CRDB ikitaka nifungue scholar account katika branch zao huko Dodoma.hivo tuwe na subira kidogo asilimia soon inatoka .