Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,258
- 9,229
hakuna dharura, bali amesema mazungumzo yaendelee, kumbuka mama samia alikuwa makamu wa rais anajua kinachoendelea, na kwa nini mazungumzo yalikwana,0 na nani alikwamisha.SSH na TPDC nani ana taarifa sahihi zaidi? Kuna umuhimu gani wa kuingia mkataba mkubwa namna hiyo kwa dharura?
Unapendekeza ingekuwaje sasa?Unaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
Thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups tulioshinikiza mradi huu uchelewe ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.
Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...www.jamiiforums.com
P
hakuna dharura, bali amesema mazungumzo yaendelee, kumbuka mama samia alikuwa makamu wa rais anajua kinachoendelea, na kwa nini mazungumzo yalikwana,0 na nani alikwamisha.
Nani kasema kuna nchi isiyo na corruption? Corruption zinazidiana. Ni jukumu la viongozi kupigana kwa nguvu ili zipunguwe kabisa na kila anayekamatwa aadhibiwe.hakuna nchi ambayo haina corrupt, kinachotakiwa ni kuwa na mkataba wenye maslahi kwa wote, sio kupinga kila kijtu anachofanya Rais, inawezekana kuna watu walikuwa na maslahi yao binafsi ndio maana ukachelewa!
Bado Mimi naamini hiki unachosema lkn tuwe wakweli 6yrs!!! tunajadili niniKauli zina message nyingine ambazo azijatamkwa. Mtu aliekuwa briefed in detail hawezi kusema malizeni haraka hayo majadiliano.
Kumbuka sio kwamba hao watu hawajakutana kabisa, the mere fact gharama za LNG zinaeleweka ina maana majadiliano yalishaanza.
Pili ukishatoa licence ya watu kutafuta visima (exploration) wakivipata vyenye commercial reserve wanakuwa na exclusive right za ku extract pia ndio maana hayati alituambia sasa hivi vinawenyewe, majadaliano yanabaki kwenye sehemu sita kuu; technical, commercial, environmental, social, economic and political.
Technical na commercial ndio asilimia kubwa ya mjadala na ndio source ya migogoro ya baadae it is a very complicated area inayoweza kuchukua muda kila mtu akilinda maslahi yake.
Sasa sidhani kama issue ya kusimama kwa negotiations kwa sasa ni kwa sababu watu wanadengua la hasha lazima ni kwenye kulinda maslahi maana exclusive right za kuchimba zimeshauzwa tayari, kilichobaki sisi tunapata nini yakishatoka.
Jeipiemu hamkumjua vzrnatamani SSH aachane kwanza na project kubwa kama hizi kwanza mpaka amalize mda wake. akija mtu ambae ana balls za kusema no kama JPM ndio afanye hivi vitu.
...for how long nduguKuwaacha watalaamu tuliowachagua na kuwaamini kusimamia majadiliano kwa kutumia negotiation tactic zao.
Muhimu awe na vision mlituletea dakitari wa mafuta ya korosho yalitokea sote tunajuaSSH ni mpiga porojo, hana utaalamu wowote zaidi ya social works, kazi aliyofanya kwa muda mrefu ukiondoa siasa ni mwanaharakati wa NGO, uwezo wake wa kufikiria ni very questionable, maamuzi yake yapo ili ku please watu na makundi na sio kutatua tatizo kwa muda mrefu.
Ndugu wewe uko kwenye timu ya majadailiano? kwanini unasema dharulaSSH na TPDC nani ana taarifa sahihi zaidi? Kuna umuhimu gani wa kuingia mkataba mkubwa namna hiyo kwa dharura?
Unamiaka mingapi tangu Uhuru umeweza nini mpaka SasaSijakupata vizuri,
kwa hiyo hata kama wanatuibia tulainike tuu, au tukubali tuu. Tukumbuke usia wa Mwl. JK Nyerere. Maana wewe unazungumziaga karma au vitu kama hivyo. Tukiiuza nchi yetu, makaburi yetu hayatabaki salama. Kizazi kijacho, watakuja na magreda na kusambalatisha makaburi yetu yote, yaani tufutike kabisa katika historia. Kwa maana sisi tulikuwa washenzi tukauza urithi wao kwa mchuzi wa dengu.
Unamiaka mingapi tangu Uhuru umeweza nini mpaka Sasa
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kuna dharula, sababu ametoa agizo au amri mazungumzo yaishe, yeye anachotaka ni kuwafurahisha wawekezaji wampambe kwenye magazeti yao huko, hajali huo mkataba utawanufaisha Tz au lah, she’s so naive...hakuna dharura, bali amesema mazungumzo yaendelee, kumbuka mama samia alikuwa makamu wa rais anajua kinachoendelea, na kwa nini mazungumzo yalikwana,0 na nani alikwamisha.
Hana vision, she’s narrow minded & easily manipulated, unaweza mteka hata kwa kumsifia tu few tweets na akaona unampenda kumbe anang’ong’wa tu:Muhimu awe na vision mlituletea dakitari wa mafuta ya korosho yalitokea sote tunajua
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Na kumbuka, wengi wa hao 'negotiators' nao wana njaa ya kutambuliwa na uteuzi, au hata kupata chochote toka kwa hao wanao'negotiate' naye.Unaingia kwenye tactful negotiations kwa shinikizo la kiongozi katika hayo majadiliano bargaining power si tayari umeshampa mwekezaji.
Hakuna negotiation rahsi. Mi Naona walikiwa kwenye right track. Yakitichachia siyo kwamba yanazaliwa Kwa Jirani then atupihe nao .Maza atulize JPM kaacha negotion team matata ambayo hatujawahi kuwa nayo kama haitabadirikaBongo kila mtu mjuaji. Hata kila kama huyu naye ni mtaalamu kushinda walioko huko. Inasikitisha sana.
Hapana.acha ujuaji, hujui Total waliposhindwana na Tanzania walienda kufanya huo uwekezaji Msumbiji. Samia amesema kama mradi umeshindikana ufutwe atafutwe mwekezaji mpya, miaka 6 una negotidte nini?
Kwa hiyo wewe unaufahamu mradi huu kuliko yeye anayekomand vyombo mbalimbali vya serikali?SSH is naive, anaenda kuingiza nchi kwenye hasara kwa sababu ya ujinga wake, huwezi lazimisha negotiations iishe bila kujali nini tutapata, HGA ilikuwa inasuasua sababu ya PSA policy mpya ambayo IOCs waliona inawaminya, kwa lugha rahisi SSH anawaambia TPDC waachie chochote walichokuwa wanapigania wasaini mikataba, huu ni mkataba wa 30bn USD ( 70 trl Tzs ), haraka ni ya nini?