Shikamooni wanajamii! Leo fundi kaniabia lnb yangu ya zuku imeungua. Ilipoteza network wakati wa mvua. Naomba aliye na ujuzi huu anieleweshe kama ni kweli mvua inaleta hili tatizo? Dish lenyewe liko karibu na lingine la jirani. Kama ni radi, si zingeungua zote mbili? Pia ningeomba kujua bei ya Lnb. Asanteni