Soma prospector ya chuo. Kama umeweza kuingia jf utashindwaje kuingia kwenye website ya chuo chako?. Huu ni uzembe na haioneshi kama kweli wewe ni msomi wa level.Wakuu,
Naomba kufahamishwa course unit za LLB ya pale OUT!
Ziko ngapi kiujumla?
Mwaka wa kwanza mwanachuo hutakiwa kuzisoma ngapi?
Mwaka wa pili na watatu zinakuwa ngapi?
Natanguliza shukrani?