Mtataka sana kuifananisha elimu ya UDSM na mivyuo yenu mingine mliyoisoma /mtakao kwenda kusoma e.t.c
Lakini toka miaka yetu hata sasa UDSM itabaki kuwa chuo chenye hadhi kubwa. Kwenye ajira vyuo vinaangaliwa sana. Ambao wanafanya job selection watakuambia
Tuliosoma UDSM na wadogo zetu wanaoendelea kusoma hapo tutabaki kuwa tofauti. ..kwenye ajira tunauzika