Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,891
Ngoja ni-log off,
mi nilidhani issue hi ya kweli kaka, nilianza hadi kukuonea huruma
kabisa na i went further, nikaanza kumchukia kabisa mkeo na wanawake
wote kwa ujumla wake, umenifanya nitende dhambi ya bure kabisa, Please
nitake radhi Mentor, vinginevyo mara baada ya wewe kuoa tu, lazima
nimtafute mkeo. Joke
Eti Heaven on Earth, kwanini umeiLIKE hii post???Hujui ngozi ya kung'aa??
Ni kweli hutokea ndiyo maana na mm nkakemea nilipoamka.
Haha abt shombeshombee.....unantafutiankesi naona.
Ahahahahaha mkuu umenichekesha kwenye pantoni..lol.
Heheheh...wqtu wengine sijui huwa mnawaza nn kakweli....
Reminds me of vifipisho vya watu hawa: Heaven on Earth - hoe
Asprin - babu as
Kongosho - koni. Mh!!!
Eti Heaven on Earth, kwanini umeiLIKE hii post???
Halafu wananiita mhuni nnavochelewa kuoa...asavali uwaeleweshe bro!!!
njoo huku chobingo kuna jambo nataka tujadiliane
Ndoto zako hatari tupu...
ati nini?
Hata mimi Nalog off kama WashawashaNgoja ni-log off, mi nilidhani issue hi ya kweli kaka, nilianza hadi kukuonea huruma kabisa na i went further, nikaanza kumchukia kabisa mkeo na wanawake wote kwa ujumla wake, umenifanya nitende dhambi ya bure kabisa, Please nitake radhi Mentor, vinginevyo mara baada ya wewe kuoa tu, lazima nimtafute mkeo. Joke
mambo ya kazi love......we wala usihofu
Kama ni masuala ya kazi basi yatajadiliwa hapa mbele ya macho ya kila alie na pumzi....
Hivi hujui kuwa hata wewe alikuota kuwa umekufa na kumbe huko hai daddy?