Lizzy: "JF Queen Of MMU - 2011"

Haikatazwi japo kwenye sponsorship ulikuwa umejificha!! Naomba niwe shahidi wakati unamgea....unajua huyu ni malkia eeh? Lol

sikujificha kipipi! Majukumu yalikuwa mengi! I am serious naomba uwe shahidi wangu nikimkabidhi zawadi nyingine. Inamana sponsor ndo akajitokeza tsh 50,000? Acheni utani na keyboard. Nipm nitangaze dau langu!
 
Sio utani jakubumba....jamaa kajitahidi sana kwenye categories zote, heshima alowapatia ni zawadi tosha pia!! Jamani ebu tangaza basi hiyo additional dau mpendwa, mi nipo kushuhudia pamoja na wana MMU wote!!
 
Njoo na uzi wa ukweeh kwenye next sredi....big up Lizzy, ingawa mada zako sizi....kwa sana!!
 
Q of MMU Lizzy hongera sana.. Kwa kweli unastahili..uko so detail and technically aware kwenye issues. keep it up!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…