liyumba,jk na chuki za kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

liyumba,jk na chuki za kike

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwakichi, May 15, 2011.

 1. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  chanzo:historic background.
  kumbe jk the pres kasoma shule na aliejua mtumishi wa BoT bwn liyumba,habar zaid zinaeleza mr pres alikua kilaza na bwn liyumba alikua na akil nyingi kumzidi..ugomvi ulianza pale mr pres alikua mb na liyumba mtumishi BoT kwan jk alikua anachukua mababy kwa kinga ya umb na uwazir akat liyumba alikua anatembeza cash..ilipofika kwa mr pres kupigwa chini na mb viti maalum vick kamata kwa ajil ya liyumba ikamuuma can akadhamiria kumfunga na amefanikiwa..leo kampa vick kamata ubunge viti maalum na vicky kamata kamshukuru kwa wimbo mfalme akikusamehe nan atakuhukumu?ule ni zaid ya wimbo wa kawaida,jaribu kuusikiliza..
   
 2. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mwakichi unatisha, teheteheeeeeeeee
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  mhh ... No comment!
   
 4. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Yaani wew bado ni mgeni ni humu jamvini halafu unaanza kwa kupost udaku.Majungu hayajengi mkuu! Weka post za kujenga humu ndani!
   
 5. M

  Mama PC Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Haaaaa ahaaaaaaaaaaaaa ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Hiyo nayo kali, jamaa kwa visasi huyu.
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh maudaku mengine yamekaa kitoto sana
   
 7. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,985
  Likes Received: 20,380
  Trophy Points: 280
  Udaku ++++
   
 8. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hii mbona imekaa kiudaku!!,maneno hayamaliziki,,,,karibu sn
   
 9. m

  mbweta JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jaman mie i love udaku kaka ukipata tena leta mana watanzania inasemekana hawana wrong data likisemwa tilia manani
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  We hata kesi iliyokuwepo pale mahakamani hukuiona? We kweli kiboko hadithi yako inatufundisha nini sasa?
   
 11. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :lalala:
   
 12. e

  ebrah JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umesahau ndugu yangu kuwa small mind discuss people, moderate mind discuss events, and great minds discuss Ideas? (we a great thinkers bana, lete Ideas, not persona pple maters)
   
 13. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tena ni udaku unaoudhi na ni kukosa adabu kwa watanzania kulikopitiliza. Sisi tuliofuatilia kesi ya Liyumba na tulioiona life style ya Liyumba tuna hasira kwa vile adhabu aliyopewa ni ndogo na tunapofikiria kwamba muda si mrefu atakuwa uraiani inatuuma sana. This guy has looted the Bank big time na kama ni nchi nyingine zisizo na utani na wahujumu uchumi, huyu bwana alitakiwa kuwa sasa ni marehemu siku nyingi.

  Wewe unayedhani sisi hatuwafahamu watu hawa, ukaleta dhihaka zako za kipuuzi wakati sie tumeibiwa kodi zetu, hizo dhihaka zako zipeleke kwenye kiduku na siyo humu JF. Liyumba ni mhujumu uchumi, mwizi wa wazi na inatia hata kichefuchefu kujadili innocence yake kwa sababu hajawahi kuwa nayo. If you are all out to malign the President and you think you can enlist support of any right thinking persons then you are damn wrong and ill advised! You just cannot trivialise the war on fleecing! Shame on you, hata hiyo thread yako inaonyesha kwamba wewe ni wale spoilers mliotapakaa humu JF.
   
 14. n

  ngwini JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi na wewe ni great thinker?
   
 15. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Duh! inaonekana wewe shetani wako hapendi pesa kabisa,hii hadithi ya kishoga uliyosimuliana na mashoga wenzio saloon wakati unasukwa nywele unaweza kuingiza mshiko kama utawapelekea wenye magazeti ya udaku,kuliko kuja kutuchosha kwa kusoma vumbi lako hapa Jukwaani...shame on u!
   
 16. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #16
  May 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Anataka kusema liyumba kafungwa kwa kutoshiriki wizi?
  Acha uzembe kijana. Imethibitika mkono wake umeshiriki wizi wa majengo pacha na nafasi yake kama adminstrative officer aliitumia vibaya. Wezi wale. Hatukatai kama wana bifu na jk kivyao wote washamba lakini kwa upande mwingine wa shilingi ni kezi ka liyumba (according to mahakama)
  hizi ni siasa za marekani za kuleta maada ili kuurubuni umma na kuwa wachonganishi, so kijana kama ni bifu wengi serikalini wanabifu, sisi wananchi tunatazama maslahi ya taifa. Tembea na liyumba mwizi.
   
 17. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh :dance::dance:
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamaa analeta utani wa kibwege katika issue serious. Nashukuru mkuu umempasha and I hope ataishia kimoja!
   
Loading...