Living room designs....!!!!

ni kweli shughuli ipo kwa mtoto
 
Nyie wadhungu nini?...au mko masaki kwa wenye bingo?...karbuni tandale karibu kabitha na anapoishi msaii TanzAnite.
 
Nimependa hii its written mimi49 all over it...its so much me aisee....

livingroom ya aina hii niliiona kwa mara ya mwisho nyumbani kwa mfanyabiashara mwenye visima vya mafuta mahali fulani. mwenzetu mimi49 umegundua mafuta sehemu? tuambianage jamani...kama kuna sehemu nambie niache huu mradi wangu wa nyuki pale kisarawe.

View attachment 115431
 
Jamani mi mwenyewe nna mpango wa kuweka floor ya mbao msaada tafadhari maana nasikia ina gharama sana !! Plzzz. Assist wana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…