Living forever nini

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,939
Reaction score
2,177
mwenye uelewa aseme kuna shemeji yangu ananiuliza anataka kujiunga
 
Nenda kwenye kiboksi cha search cha jf, tafuta utapata majibu yote!
 
Kama yupo hapa dar, aje ksho diamond house karibia chuo cha ifm majira ya saa Tisa kutakuwa na semina ya hyo kitu
 
mwenye uelewa aseme kuna shemeji yangu ananiuliza anataka kujiunga

Kwa maana ya hilo bandiko lako ni kuishi milele lakini naamini ulimaanisha FOREVER LIVING zile dawa zisizo na kelimali zinazotibu magonjwa mengi kwa wakati mmoja ambapo watumiaji wake wengi ni watu wenye uwezo na zina ujanja ujanja mwingi
 
ni wizi mtupu imenitenga na mke wangu
 
ni wizi mtupu imenitenga na mke wangu
 
ni wizi mtupu imenitenga na mke wangu

Hahaha pole aisee. Mmetengana kabisa au mama kawa busy ni Forever? Maana ile kitu inahitaji commitment ya ajabu na kwa mke wa mtu ni mtihani especially kama akitaka kupata mafanikio ya fasta fasta. Ila ongea naye kwa utaratibu azingatie wajibu wake kwa familia kama mke. Mimi pia naifanya but my husband comes first sijaruhusu iniibie muda wa kuwa mke na mama nyumbani
 

nmeambiwa ni majambaka poa nitamshauri aache
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…