Kuna
radio moja tu nijuayo mimi Tanzania ambayo unaweza kuipata
live online nayo ni
RADIO MARIA kwa watu wa nje ya tz mnaweza kupata mapitizo ya magazeti ya tanzania kila siku sa mbili na nusu asubuhi. (EAT)link yao ni
http://www.radiomaria.org/media/start.asp?SOURCE=tanzania-hq&TITLE=tanzania - hq.
Tuna kazi ndefu na kubwa kuifanya hii
Tekonohama itumike kubadilisha maisha ya watu positively na kuwapatia taarifa. tatizo letu sote ni watu kutokupata taarifa (Information) in right time