Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Liverpool FC ya Uingereza imeingia rasmi katika mbio za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu ya Nchini humo baada ya kujikita katika nafasi ya pili, nyuma ya Chelsea, katika msimamo wa ligi. Hiyo inafuatia ushindi wa hivi punde wa mabao 3-0 dhidi ya Southampton. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Suarez,Sterling na Gerald.
Sasa Liverpool wana alama 59 sawa na Arsenalk lakini wao wana uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa. Wanazidiwa na Chelsea alama 4. Man City wana michezo miwili mkononi na wana alama 56 katika nafasi ya nne. Ngoma inogile!