WWW3 unazungumzia Mieleka? Don't try it at home my sisterLiverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!
Gundu yenyewe ni WWW3 Vita ya Tatu ya Dunia,
baada ya Trump kumuua Jenerali wa Iran, Iran imetangaza lazima ilipize kisasi, muda si mrefu kabla ligi haijaisha Iran itaipiza kisasi, na vita itatokea, sababu Iran ni nchi kubwa sana, itabidi Uingereza, Ujerumani, ufaransa nazo ziingie kuisaidia America, China, Urusi, Lebanon, Pakistan, North Korea nazo zitakuwa upande wa Iran,
Kitanuka ajabu sana na ligi zote duniani zitafutwa sababu ya usalama, na Liverpool ndio hivyo tena..
Imekosa ubingwa kwa sababu nyingine za ajabu kaisa ambazo hakuna aliyetegemea,,
Poleni mashabki wa Liverpool , OMBENI VITA ISITOKEE JAPO IRAN WAMEANZA KUKIAMSHA HUKO
Ndio. Uwezo wake.wakufikiri ulipoishia MKUU beating imeshawaharibu.Wewe ni mjinga, WWW3 ndio nini? Unawaza vitu vya kijinga jinga na mpira tu. Hujui athari za msingi zitakazosababishwa na WW3.
Sent using Jamii Forums mobile app
We naye Beating ndio nini sasa ???Ndio. Uwezo wake.wakufikiri ulipoishia MKUU beating imeshawaharibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifikiria kwa makalio badala ya kichwa mtu anakuwa na mawazo kama hayaLiverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!
Gundu yenyewe ni WWW3 Vita ya Tatu ya Dunia,
baada ya Trump kumuua Jenerali wa Iran, Iran imetangaza lazima ilipize kisasi, muda si mrefu kabla ligi haijaisha Iran itaipiza kisasi, na vita itatokea, sababu Iran ni nchi kubwa sana, itabidi Uingereza, Ujerumani, ufaransa nazo ziingie kuisaidia America, China, Urusi, Lebanon, Pakistan, North Korea nazo zitakuwa upande wa Iran,
Kitanuka ajabu sana na ligi zote duniani zitafutwa sababu ya usalama, na Liverpool ndio hivyo tena..
Imekosa ubingwa kwa sababu nyingine za ajabu kaisa ambazo hakuna aliyetegemea,,
Poleni mashabki wa Liverpool , OMBENI VITA ISITOKEE JAPO IRAN WAMEANZA KUKIAMSHA HUKO
Hamna kitu kibaya kuwa nacho mwanadamu Kama kijicho,husda,roho mbaya,unateseka Sana,unasononeka,unakula maumivu ya moyo na ajili,kisa Liverpool wasichukue UbInGwA wa Epl, karibu kwenye mji wa furaha na tulizo la moyo,ynwaLiverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!
Gundu yenyewe ni WWW3 Vita ya Tatu ya Dunia,
baada ya Trump kumuua Jenerali wa Iran, Iran imetangaza lazima ilipize kisasi, muda si mrefu kabla ligi haijaisha Iran itaipiza kisasi, na vita itatokea, sababu Iran ni nchi kubwa sana, itabidi Uingereza, Ujerumani, ufaransa nazo ziingie kuisaidia America, China, Urusi, Lebanon, Pakistan, North Korea nazo zitakuwa upande wa Iran,
Kitanuka ajabu sana na ligi zote duniani zitafutwa sababu ya usalama, na Liverpool ndio hivyo tena..
Imekosa ubingwa kwa sababu nyingine za ajabu kaisa ambazo hakuna aliyetegemea,,
Poleni mashabki wa Liverpool , OMBENI VITA ISITOKEE JAPO IRAN WAMEANZA KUKIAMSHA HUKO
Liverpool ni mwendo wa kunyakuwa mataji,mahasimu wetu kutoka mji Fulani Zama zao za kutamba zimekwisha.Nimecheka sana...
Kwa maana hiyo Liverpool siku zote ni fungu la kukosa tuhata mwaka huu nao sinia lao la pilau linaelekea kunyewe na mwewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
liverpool on fire! mko wapi sasaLiverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!