Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Dec 21, 2013 Thread starter #21 sizinga said: mmepewa masaa 48 ya kukalia kiti Click to expand... hakuna awali mbovu
MIDFIELD JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,944 Reaction score 703 Dec 21, 2013 #22 Amavubi said: Simba 3 Yanga 1 leo nina raha kamili Click to expand... Yani leo raha mwanzo mwisho. Vijana wa Anfield wametukosha, na vijana wa msimbazi wamemalizia kutupa raha jmosi ya leo. Safi sana
Amavubi said: Simba 3 Yanga 1 leo nina raha kamili Click to expand... Yani leo raha mwanzo mwisho. Vijana wa Anfield wametukosha, na vijana wa msimbazi wamemalizia kutupa raha jmosi ya leo. Safi sana
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Dec 21, 2013 Thread starter #23 MIDFIELD said: Yani leo raha mwanzo mwisho. Vijana wa Anfield wametukosha, na vijana wa msimbazi wamemalizia kutupa raha jmosi ya leo. Safi sana Click to expand... wewe kweli Liva, hado Avatar yako
MIDFIELD said: Yani leo raha mwanzo mwisho. Vijana wa Anfield wametukosha, na vijana wa msimbazi wamemalizia kutupa raha jmosi ya leo. Safi sana Click to expand... wewe kweli Liva, hado Avatar yako