WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Jamani kwa mdau wa Yanga ama Mwana JF yeyote aliyeko uwanja wa taifa atupashe mchezo wa ligi kuu ya Vodacom tanzania Bara kati ya Yanga na Prisons kutoka Mkoani Mbeya.
Wengine Leo tumebanana kwelikweli hatuko Taifa.
Wengine Leo tumebanana kwelikweli hatuko Taifa.