tupatie hata mfumo(fomesheni) basi tuweze kutabiri,... Lakini naona jangwani watacheka.... Mechi ikimalizika ntakujuza ni kwa nn Yanga wanashinda leo...
Ulitaka tukufatilie wewe....kama hulipendi soka la bongo ni wewe siyo wote kuna watu tunaopenda soka la Bongo mpaka BP zinatunyemelea hasa siku kama hii.......
mkuu akipigwa mtu ndio updates zitamwagika kama mvua maana saa hii simba wanaogopa na yanga wanaogopa, wote wamebana masaburi wanaombea wasifungwe . natamani mmoja apigwe bao ili wale wa upande mwingine waanze kumwaga updates hapa jamvini