LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

Mkuu unachekesha kweli... kombe ulilikimbia lakini kwenye fyeefyeefyeee umo aisee, kweli wacha debe tupu liendelee kutika
Mkuu ukweli ni kwamba Simba alipakatwa jana.......

Na waandaaji wa Kombe la Mapinduzi wameshatuelewa ndio maana hata pesa za Ubingwa Tshs. milioni 16 kati ya hizo Milioni 10 zimetolewa na Yanga
 
Yaani huu uzi umepoa sana. Hivi wale watukanaji kama akina Ngarna wako wapi? Wastaarabu kama akina Crashwise wako wapi na wengineo kama akina Jabulani wako wapi jamani. Heko KCC kwa kutuliza hali ya hewa. Yule Logaloga hana lolote kafungwa na kocha Mganda mzalendo wakati alipomfunga Brandits alidai kuwa hakuna kocha wa kumfunga akiwa na Simba aliyodai 'inatisha'.
 
Last edited by a moderator:
Zilipelekwa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti Clement Sanga na kukabidhiwa kwa Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Idd..
Kabla ya mashindano kuanza, iliwekwa wazi kuwa Yanga watachangia 10M au waliipeleka wenyewe bila kuombwa?
 
Wana michezo wenzangu hasa kwa wale tunayoipenda Simba,
Naomba kwa ambao wako Zanzibar watupe live updates hapa...

Hili ni ombi maalumu kwani sijaona uzi wowote juu ya hii mechi.

Mji umepoa, kimya! Asante sana KCC
 
crraaappp.....
 
He will be sacked before end of this year as there is no title he together with his team can register in 2014...labda waje washiriki mashindano ya Mtemi Isike huku Tbr
 
He will be sacked before end of this year as there is no title he together with his team can register in 2014...labda waje washiriki mashindano ya Mtemi Isike huku Tbr

Wataanzisha mashindano mapya yatakayoitwa Rage Cup ili kuzima kelele za wale wasiomtaka Rage. Niliwaambia 'wanaenda Zanzibar kwa kicheko, watarudi wakilia'. Hayo ndiyo yametokea!
 
Vp Bonanza linaendaje huko uturuki?
 
Last edited by a moderator:
Vp Bonanza linaendaje huko uturuki?

Timu iko Uturuki kwa ajili ya mafunzo, siyo bonanza. Hivi Malkia wa Nyoka haja-revenge kwa kuwapeleka Oman kama ka mwaka kale, au kaishiwa? Rage mwenye 'gundu' aliyesababisha Simba ifungwe kwa kuingia uwanjani, hajambo?
 
Umeonaehhhhhhhhh Malkia wa nyoka lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…