Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Updates please......
Mkuu tunaomba lineup tafadhaliRedondo ndani - Awadhi Juma nje hizo zote ni harakati za kusawazisha na hatimaye kunyakua Kombe.
Leteni updates, sitashangaa kusikia red card imetolewa kwa KCC, refa achezeshe kwa haki aisee, tumechoshwa na kelele za hawa jamaa.
Dakika ya 30
Simba 0 KCC 1
Kama hauna King'amuzi cha Azam Tv Fungua Uhuru Fm 95.7 fm-Dar/Pwani/
Zanzibar 88.2 fm-Dodoma/Singida 99.7
fm-Arusha 92.9 fm-Mwanza 103 fm-Mbeya/Mbinga