Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Live updates:
Simba v JKT Oljoro: NS
Ashanti v Mgambo Stg: NS
Key:
NS = Match Not Started
FH = 1st Half
SH = 2nd Half
FT = Full Time
wanaamini sana mkuu....tatizo wabishi tu.Pamoja sana mkuu,tutafuatilia hapa hapa na hasa ukizingatia kwamba leo Mnyama anatoka sare,hii ni kwa wale wote ambao hawaamini!!
Pamoja sana mkuu,tutafuatilia hapa hapa na hasa ukizingatia kwamba leo Mnyama anatoka sare,hii ni kwa wale wote ambao hawaamini!!
Live updates:
Simba v JKT Oljoro: NS
Ashanti v Mgambo Stg: NS
Key:
NS = Match Not Started
FH = 1st Half
SH = 2nd Half
FT = Full Time
Inabidi tuwe tunawaanzishia kama hvi, wasije wakaanzisha alafu wakaususia! wanavyoadimika humu hata viwanjani ni hivyo hivyo!!Hivi hawa jamaa, wako wapi? Hata kuanzisha uzi wameogopa. Wakitoka sare itapendeza sana, wakifungwa itapendeza zaidi lakini wakishinda itakuwa mbaya mno.
Dua lako liwe la kweli.Pamoja sana mkuu,tutafuatilia hapa hapa na hasa ukizingatia kwamba leo Mnyama anatoka sare,hii ni kwa wale wote ambao hawaamini!!
Wamekuja kukuvuta shati haoLeo hawa wanajeshi watajuta kuwa na timu nyingi kwenye ligi.
Dua lako liwe la kweli.
Kushinda kwamaana ya kuondoka na points 3 hiyo ni ngumu, labda washinde kutoka hasbuh hadi jioni au washinde na njaa.Hivi hawa jamaa, wako wapi? Hata kuanzisha uzi wameogopa. Wakitoka sare itapendeza sana, wakifungwa itapendeza zaidi lakini wakishinda itakuwa mbaya mno.
Pamoja mkuu.tena litilie na ubani pia likolee haswaa..
Pamoja sana mkuu, natarajia Updates za nguvu kutoka pande hizo, na Updates zako ndio siri ya Ushahidi wa JKT Oljoro.Live updates:
Simba v JKT Oljoro: NS
Ashanti v Mgambo Stg: NS
Key:
NS = Match Not Started
FH = 1st Half
SH = 2nd Half
FT = Full Time
Live updates:
Simba v JKT Oljoro: NS
Ashanti v Mgambo Stg: NS
Key:
NS = Match Not Started
FH = 1st Half
SH = 2nd Half
FT = Full Time
Hivi hawa jamaa, wako wapi? Hata kuanzisha uzi wameogopa. Wakitoka sare itapendeza sana, wakifungwa itapendeza zaidi lakini wakishinda itakuwa mbaya mno.
Mtego? Wanini tena? Ngojeni Kesho mutoshane nguvu ili iwe rahisi kwa Azam kujibebea taji lake.Mkuu naskia Mbeya city wamewekewa mtego na tayari wamenasa?!
Mkuu naskia Mbeya city wamewekewa mtego na tayari wamenasa?!
tunasubiri droo tu..Mtego? Wanini tena? Ngojeni Kesho mutoshane nguvu ili iwe rahisi kwa Azam kujibebea taji lake.