Live Updates: Twiga Stars Vs Namibia


unanitia kichefuchefu ukitaja 'taifa starz' yamesaidiwa sana,mara makocha hovyoooo! Shwain!
 
Hongereni warembo, msiende kula bata tuu na kusahau mazoezi. Kama wale wengine........
 
Itakuwa vizuri kama wakishinda angalau wa tz nao wacheke,maana kila siku heri ya jana!
Kazi ipo!
 
Twiga Stars 5-2 Namibia

Aggregate: Twiga Stars 7-2 Nambia

Twiga watakutana na mshindi wa mechi ya Misri na Ethiopia

Big Up Mkuu!

Asante kwa updates zote. Bahati mbaya hakuna LIKE au THANKS kwy mobile version ningekutwangia.

Asante!
 
Ngoja mkuu wa kaya arudi ni lazima atawaita Ikulu, Akazione hizo chenga za huyo mzaramo mnaemsifia.
Kama ajaomba faragha na dada.
 
Tuombe turuhusiwe tutumie team ya wanawake kwenye mashindano ya wanaume tu ndio iliyobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…