Haki ya nani walio pale mbele wanajua sana mpaka raha sana.Lalallallalalallalala dah bado kidogo tuone la 6.Tuwekeze kwa hawa mabinti jamani wana-potential.
Yap mkuu...Wauzri sana hawa mabinti....Hii ni timu pekee ya soka nchini ambayo hutuwakilisha kwenye mashindano makubwa barani Afrika na mara zote hujitahidi...
Tayari timu hii imeshiriki AFCON ya wanawake, COSAFA ya wanawake(walialikwa) na All Africa games......Na nina imani mwezi Novemba watatupeleka Equtorial Guinea hawa....Cha msingi ni kuelekeza nguvu zote kwa timu hii,achana na habari za Taifa Stars ambao hawana faida yoyote kwa michezo nchini