Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,986
Tuwe hapa pamoja kupeana updates.
=========================
KIKOSI CHA STARS LEO :
1. Deogratius Munish 'Dida'
2.Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Aggrey Morris
5. Erasto Nyoni
6. Himid Mao
7. Thomas Ulimwengu
8. Mwinyi Kazimoto
9. Elius Maguli
10.Mbwana Samatta
11.Farid Mussa
Akiba :
1. Aishi Manula
2. Mohamed Hussein
3. David Mwantika
4. Shiza Kichuya
5. Jonas Mkude
6. Deus Kaseke
7. John Bocco
Benchi la ufundi
Kocha. Charles Boniface MkwasaKocha msaidiz. Hemed Morroco
=========================
Here we go.....
=========================
FT :TAIFA STARS 0-2 MISRI.
 
Hawa TFF wao wanawaza ulaji tuu, kweli wanashindwa kupata udhamini wa kugharamia matangazo ya television kwa channel itakayo onwa na Watanzania wote? Watu watapataje hamasa na timu yao bila kuwajua wachezaji wao?
Wao mawazo yao ni fedha za milangoni ambazo ni rahisi kuzipiga cha juu.
 
Ndio itakuwa live kwenye azam tv on Zbc 2 chanel
Hivi king'amuzi cha ZBC kinaitwaje? Naona hawa Startime niliingia mkenge.

Mwenye info za king'amuzi cha zbc na bei yake, wapi kinapatikana. Nipo mwanza
 
Back
Top Bottom