mkuu, bilashaka na wewe unaweza ukafungua huo uzi kama una chakuongea juu ya Simba vs JKU najua pia wanazi wenzio wapo watajitokeza; Amavubi sasa hivi yuko busy anafikiria cha kumshauri Aveva ili kuweza kukwamua Timu yetu bwana, mind you, we are fighting for Long Run Plan.
Tunampa nafasi ya kwanza Mkuu Amavubi maana amerusha kombora la shutuma kwa Wanayanga. Tunaomba uzi huu leo ufunguliwe na Mwanasimba. Msipofungua tutatumia uzi wa mkolaj i.e. Azam FC v KccA kuleta updates.