Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,273
- 33,573
Kufungwa kafungwa mwadui lakini walioumia zaidi wakalia tako 1
mpaka mfunge ndo uibuke?Najua ulitaka Yanga ifungwe ila poleeeee
Zinawasaidia nini Sir?Kimoja ndio lakini mayai kama yote
Point 3 kwapani
Costo 2- Namungo 2
Wazee wa kupigwa bombaKufungwa kafungwa mwadui lakini walioumia zaidi wakalia tako 1
Mikia imekatika yoooooteeeeMbumbumbu mpoView attachment 1477441
Tarehe 8 March ,2020Wazee wa kupigwa bomba
8/8/2020njoeni kesho muone soka,sio ndondo ya Deportivo la Utopolo
Ilo soka mngelionyesha 8/3/2020 mngeonekana wa maana sananjoeni kesho muone soka,sio ndondo ya Deportivo la Utopolo
njoeni kesho muone soka,sio ndondo ya Deportivo la Utopolo
Vp mzee baba hilo soka mmelionyesha?