LIVE Updates: Mkutano wa CHADEMA - Kimandolu Tindigani, Arusha

LIVE Updates: Mkutano wa CHADEMA - Kimandolu Tindigani, Arusha

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
19,703
Reaction score
37,945
Kwa wenye wa Arusha, patakuwa na Mkutano wa Chadema katika viwanjia tulivu vya tindigani Kimandolu, Nyuma ya Mlima wa kijenge/pembeni mwa kijenhe juu.

Kijana wenu nitakuwa mstari wa Mbele kuwa update Makamanda na Magamba Mlio mbali, tafadhali kuwa huru kutupia comment au coverage yeyote ambayo mi sitaweza ipata katika Mkutano ambao ninaamini utakuwa ni wa ki Historia ..

Nawasilisha Kijana wenu.
 
Mpaka raha. Ccm wanadai bado wapo imara
 
tayari kuna uzi umeanzishwa saa 10 usiku
 
Nipo kwa shaban nafikaje huko
Tindigani mkuu???
 
nimeota Lowassa ameshinda kuwa raisi. Sasa naamka kufungua redio naona hawatangazi kumbe nilikuwa naota
 
waeleze viongoz mkutano huo urushwe live kupitia tvs, jana tulinyimwa uhondo tafadhari kama tatizo ni uchumi tuko tayar kuchangia il wananch wamuone rais wao
 
Sasa ninyi si ndio mnaitwa na ccm na hasa uhuru, kuwa ni vibaka, leo huko Arusha mtaitwaje?
 
Back
Top Bottom