Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Mtani mtani Ruttashobolwa tunafanyiana hivi? Mpaka huku ni hivi.
Yanga mbele nyuma mikia...
Mzima lakini mtani?
Dada....!!
Last edited by a moderator:
Mtani mtani Ruttashobolwa tunafanyiana hivi? Mpaka huku ni hivi.
Yanga mbele nyuma mikia...
Mzima lakini mtani?
Na Iwe hivyo bas mkuu,Hakika yanga atabeba point zote uko tanga km ilivotokea mbeya
Dada....!!
Kaka za weekend?
safi dada nashuhudia runingani mnavyopigishwa kwata.
Friends of Mgambo tupo....Mgambo team piga yeboyebo goli mbili warudi eda jangwanii
Hakika yanga atabeba point zote uko tanga km ilivotokea mbeya