Live Updates:Costal Union vs Yanga


Mkuu grafani11 sijatukana mtu yeyote humu jamvini na kamwe siwezi kufanya hivyo, nimem-quote mwenyekiti wenu Rage aliposema wana Simba ni mambumbumbu! Kama hilo ni tusi naomba nielimishwe.

Kuhusu uzamivu wala usihangaike, sitishiki na shule yoyote mimi, elewa hivyo tu. Hapa tujadili Simba na Yanga, full stop.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nadhani wakijitahidi kama JKU itapendeza zaidi.
Bado muda mchache sana mama simba awe katika hali ya huzuni kwani atashuhudia yeye mwenyewe jinsi mtoto wake atakavyokuwa anachomwa mikuki ya sumu na mwindaji mwenye njaa kutoka Jangwani, lakin huzuni hizo za mama simba hazitamzuia mwindaji huyu kumrarua mtoto wake. Ila kitakachomuuma sana MAMA SIMBA ni kumunaona mtoto wake wa pekee anauliwa katika poli alilozaliwa na yeye MAMA SIMBA asijue la kufanya.....
 
Makoye Matale si mpuuzi hata siku moja, yeye huja na ukweli mtupu, wanaokasirika acha wakasirike!
 
Last edited by a moderator:
Yanga lazima wakae tu.Kwani kuanzia segera mpaka Tanga mjini ni full nyekundu na nyeupe.
 
We jamaa.una kiherehere sana,

Mkuu, mnataka tuwaachie jukwaa mjadili wenyewe? Tuambie ukweli ili sisi tuanzishe uzi mwingine. Hapa jamvini kama kuna error inabidi anayefahmu afanye correction, sasa kama hamtaki, tuambieni.
 
Unalaumiwa kwa kupoteza uelekeo wa uzi na jukwaa kwa ujumla,njoo uombe msamaha kwa wakuu.ushosti wako na bantu lady unakugharimu

Mkuu achana na grafani11, yeye mwenyewe kakiri kwamba hana shahada ya uzamivu kitaaluma bali anayo ya kutukana watu. Tatizo lake hajui kwamba unapoweka full stop, unaanza sentensi mpya inayojitegemea.

Namnukuu 'Naona mnajifunza kutukana ukubwani, cha ajabu hata watumishi wa Bwana wameanza kuingia mkenge wa kusapoti huyo hapo juu. Hamjui kuna watu wana Shahada zao za Uzamivu humu?' mwisho wa kumnukuu.
 
Last edited by a moderator:
...ngapi ngapi mpaka sasa...?
 
Kikosi cha yanga kinachoanza leo; 1. Ally Mustapha, 2. Mbuyu Twite, 3. Osca Joshua, 4. Rajabu zahir, 5.Nadir Haroub Canavaro, 6. Juma Makapu, 7. Simon Msuva, 8. Salum Telela, 9. Amis Tambwe, 10.Kpah Sherman, 11. Andrey Coutinho. Sub-- Juma Abdul, Ngassa, Javu,
 
yanga chiboko, mmeyatupa makapi ya simba leo
 
Mrwanda Yondani ...out lkn bado kuna Barthez, Msuva, Cannavaro na Tambwe
 
Mpaka hapo nafurahi umejiona ulivyojichanganya, hapo unatapatapa kwa aibu tu. Jipime mwenyewe ujione kama unatosha kuelewa nyuzi zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…