Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,713
Sio MBEYA city?
Mzunguko wa pili si bado?
Ni aibu sana kujifanya mnajua kuchonga weee, sisi tunafanya kwa vitendo na habari nzuri ndio kama hii ya leo.
Mmetuombea tushindwe ila Mungu yu upande wetu points 3 za halali zetu.
Njooni muongee tena wale wanywa viroba visivyo na TBS. loh aibuuuuuuuuuu yenu
Dar young africans tumeshika ushukani wa ligi simba waliongea sana sasa nanyie jmoc mnacheza hapo hapo
Mbeleko ya refa leo imewaokoa, vijana wanaweka wavuni bao safi refa anakataa.
Hata hivyo leo mmejitahidi kuongea na refa mapema juzi mlichelewa sana.
Hahahaa! Forget about it naomba unitafute.
Anaongea kiuhalisia sio kiushabiki.
Siamini kama kulikuwa na wanaume hapa hawalali, shingo zimewakakamaa hee leo peupe heshima imerudi, utulivu.
Yanga ni timu ya wastaarabu mpaka raha, ila ni aibu kushabikia timu si yako halafu hiyo timu ikafungwa.
Ndio mnakuja kupata aibu za utuzimani kama hivi. Mwatilisha huruma hamjijui tu.
Haya komeo la plastic ukuje hapa.
CC Komeo Lachuma.
Aahh mikia wazee wa hadisi" mara ooh tutajenga uwanja wa bilioni mbili"imekula kwenu yanga ndo vile tena wanashikilia usukani.
mpiga ngumi ukutani huumiza mkonowe, naona unaongea kwa kukaririsiamini kama kulikuwa na wanaume hapa hawalali, shingo zimewakakamaa hee leo peupe heshima imerudi, utulivu.
Yanga ni timu ya wastaarabu mpaka raha, ila ni aibu kushabikia timu si yako halafu hiyo timu ikafungwa.
Ndio mnakuja kupata aibu za utuzimani kama hivi. Mwatilisha huruma hamjijui tu.
Haya komeo la plastic ukuje hapa.
Cc komeo lachuma.
Una shida wewe, mboma unajisumbua sana? Anyway karibu Moet ushushie kijiba cha roho angalau.
Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kunalipa japo kwa muda mfupi. Hawaangalii hata idadi ya mechi zilizochezwa kwa kila timu.Kubahatisha nako