Live Updates: APR Vs Yanga

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Ni mechi ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya APR ya Rwanda Vs Yanga Mchezo utapigwa pale Kigali Rwanda kwanzia saa 10 kwa majira ya nyumbani. Kila laheri watani zangu wa Kimataifa, Watanzania tunawaombea mshinde leo.

Fuatilia mchezo huu kupitia Azam Two ya AzamTv

=============================================
Full time
APR 1-2 Yanga
 
Ahsante sana Mtani kwa kututakia ushindi mkubwa watani zako mkuu Mussolin5.
Na sisi hatutakuangusha mtani wetu tutahakikisha tunawachapa vilivyo wale Mijeda wa Rwanda.
 
KLABU BINGWA | AFRIKA | 2015 - 2016.
RAUNDI YA KWANZA.
Armée Patriotique Rwandaise F.C (APR) Vs
Young African SC (Yanga).
Kikosi cha Yanga Leo.
KIKOSI
1. Ally mustapha Mtinge.
2. Juma abdul Jafary.
3. Mwinyi haji Ngwali.
4. Kelvin Patrick Yondani
5. Vincent bossou (C)
6. Pato George Ngonyani
7. Deus David Kaseke
8. Thaban Michael Kamusoko
9. Hamis Jocelyn Tambwe
10. Donald Dombo Ngoma
11. Haruna Hakizimana Niyonzima
Subs
1. Deogratius Bonaventura Munishi
2. Oscar Fanuel Joshua
3. Junior Mbuyu twitte.
4. Issouf Boubakar Garba.
5. Salum Telela
6. Matheo Saimon Anthony
7. Saimon Happygod Msuva
I.Kocha Mkuu :-
Hans Fransiscus Van Der Pluijm.
II.Kocha Msaidizi :-
Juma Omary Mwambusi.
III.Mwalimu wa makipa.
Juma Pondamali Mensah.
III. Meneja.
Hafidh Suleiman Saleh.
Formation:
3 - 5 - 2.
Uwanja :- Amahoro.
Muda :- Saa 10 : 30 Jioni.
KILA LA HERI YANGA AFRIKA. . DAIMA MBELE
NYUMA MWIKO. —
 
KLABU BINGWA | AFRIKA | 2015 - 2016.
RAUNDI YA KWANZA.
Armée Patriotique Rwandaise F.C (APR) Vs
Young African SC (Yanga).
Kikosi cha Yanga Leo.
KIKOSI
1. Ally mustapha Mtinge.
2. Juma abdul Jafary.
3. Mwinyi haji Ngwali.
4. Kelvin Patrick Yondani
5. Vincent bossou (C)
6. Pato George Ngonyani
7. Deus David Kaseke
8. Thaban Michael Kamusoko
9. Hamis Jocelyn Tambwe
10. Donald Dombo Ngoma
11. Haruna Hakizimana Niyonzima
Subs
1. Deogratius Bonaventura Munishi
2. Oscar Fanuel Joshua
3. Junior Mbuyu twitte.
4. Issouf Boubakar Garba.
5. Salum Telela
6. Matheo Saimon Anthony
7. Saimon Happygod Msuva
I.Kocha Mkuu :-
Hans Fransiscus Van Der Pluijm.
II.Kocha Msaidizi :-
Juma Omary Mwambusi.
III.Mwalimu wa makipa.
Juma Pondamali Mensah.
III. Meneja.
Hafidh Suleiman Saleh.
Formation:
3 - 5 - 2.
Uwanja :- Amahoro.
Muda :- Saa 10 : 30 Jioni.
KILA LA HERI YANGA AFRIKA. . DAIMA MBELE
NYUMA MWIKO. —
Amisi au Hamis
 
Hapa Sasa Ndio Raundi Ya Kwanza Imeanza!!! Tusubirie Kuona Ngebe Za Jerry Murro Zinatakavyokata!!
 
Wadau wenzangu katika mechi ambazo timu zetu zinatuwakilisha kimataifa ebu tuwe wazalendo na kuziombea timu zetu zipate matokeo mazuri ili ziweze kusonga mbele, tuache ushabiki wa usimba na uyanga nawaombeni sanaa tuungane wote tuonyeshe uzalendo.
 
Wadau wenzangu katika mechi ambazo timu zetu zinatuwakilisha kimataifa ebu tuwe wazalendo na kuziombea timu zetu zipate matokeo mazuri ili ziweze kusonga mbele, tuache ushabiki wa usimba na uyanga nawaombeni sanaa tuungane wote tuonyeshe uzalendo.
Kwa Kwa Afrika Hilo Halipo Mkuu, Ndio Maana Simba Anacheza Na TP Mazembe, Yanga Wananunua Jezi Za TP Mazembe Na Kushangilia Mwanzo Mwisho!! Kama Ilivyo Huko Kigali Rwanda, Yanga Walivyopokelewa Na Mashabiki Wa RAYON SPORTS, Ambao Ni Wapinzani Wa APR!! Na Uwanjani Watapewa Sapoti Nao!!! Suala La Utaifa, Ni Kwa National Team Only!!!!
 
Back
Top Bottom