WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Yanga wanapata kipigo tu leo
mbeya city wanaloga sana...mpira hawajui..hiyo yote ni nguvu ya soda..mbeya city wasipofungwa leo nitatembea uchi kariakoo ...leo mbeya city lazima wachezee kichapo
ndugu yangu angalia kauli yako. ucje kuijutia
Une nguvaghila!Imbeya siti ja kukhaja vakukwesa amakhambo, nkoma nkyeni kumwanyaaaaa! Ila namwogopa manji kwa ru.s.h.w.a
Mbeya ni noma unajua
Nafuu wangeenda kutalii mbeya ili wacheze mechi za kirafiki kuliko timu za kata za uturuki.Naiombea Mbeya City iwafunge watalii wa Uturuki.
mbeya city wanaloga sana...mpira hawajui..hiyo yote ni nguvu ya soda..mbeya city wasipofungwa leo nitatembea uchi kariakoo ...leo mbeya city lazima wachezee kichapo
mbeya city wanaloga sana...mpira hawajui..hiyo yote ni nguvu ya soda..mbeya city wasipofungwa leo nitatembea uchi kariakoo ...leo mbeya city lazima wachezee kichapo
Timu yetu ya Ujenzi Rukwa au Katavi Rangers zingekuwa zinatisha Afrika kama sio duniani.mpira ungekuwa uchawi timu za sumbawanga na tanga zingetwaa ubingwa kila mwaka
Haya anza kufanya mazoezi ya kutembea uchi mapema kabisa.