LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

kipindi cha pili kinaanza, yanga wanafanya sub, wanaingia luhende,rajabu zahiri,bartez
 
waliokwenda bench kwa yanga ni canavaro, chuji, kondo
 
Dakika 68 Porto anapiga goli la pili.
 
baada ya chuji kutoka, naona mtibwa wanamiliki mpira... Wanapata penalti mtibwa!
 
E bwana nashukuru baada ya kutupia hapa jf kuwa kiss fm wapo hewani,sasa nawapat hewani .HONGERA ZAKO MKUU
 
Vp sababu za wachezaji kuwa na saumu...pande zote mbili zitahusika? Endapo matokeo yatakuwa hasi?
 
mtibwa bado wanshambulia langoni kwa yanga, yanga kati kumepotea
 
mtibwa kaingia kipa said mohamed, alkuwa yanga msimu uliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…