Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Yaani ni bora kama tungetoka suluhu huku mpira ukichezwa wa kuvutia.Ungeingia uwanjani tu.. hata kuharibu game ni njia nzuri tu...
Sembo hana nyimbo, kasuluuuSembo njuu huku mkuu
?nTumeshinda mbona, moja sio goli?
tetesi eti hawana mishahara miezi miwili sasa, kwa hiyo kuna mgomo baridi.Yaani ni bora kama tungetoka suluhu huku mpira ukichezwa wa kuvutia.
Wanapasiana pasiana tu, pasi zisizo na madhara yoyote. Wanacheza kama hawajala kitu kutwa nzima.
Wachezaji wa Simba wameshavimbishwa kichwa kuwa wanajua mpira kumbe hamna kitu kabisa.
Hawachezi kwa kujituma, bora alivyoingia Salamba aliwakimbiza kidogo.
Yaani wanajiona kuwa ni mastaa tayari hawataki kuanguka wala kuchafuka uwanjani.
Hamna kashkash yoyote ya maana, ni kupasiana tu, tena pasi za kurudisha mpira nyuma.
Hamna kitu kabisa kabisa kwa huyu kocha Madevu.
Lipuli vipi?Simba Ndanda ni 0 - 0
JKT 1 - Mbao 0
Hilo nalo neno!!!Mmeshindaaa? Haaaa
?n
tetesi eti hawana mishahara miezi miwili sasa, kwa hiyo kuna mgomo baridi.
Wamecheza upuuziSimba wanacheza upuuzi gani huu
Tunaanza kumhesabia mechi kocha, wee muache tuYaani ni bora kama tungetoka suluhu huku mpira ukichezwa wa kuvutia.
Wanapasiana pasiana tu, pasi zisizo na madhara yoyote. Wanacheza kama hawajala kitu kutwa nzima.
Wachezaji wa Simba wameshavimbishwa kichwa kuwa wanajua mpira kumbe hamna kitu kabisa.
Hawachezi kwa kujituma, bora alivyoingia Salamba aliwakimbiza kidogo.
Yaani wanajiona kuwa ni mastaa tayari hawataki kuanguka wala kuchafuka uwanjani.
Hamna kashkash yoyote ya maana, ni kupasiana tu, tena pasi za kurudisha mpira nyuma.
Hamna kitu kabisa kabisa kwa huyu kocha Madevu.
Wameaminishwa na Manara kwamba watachukua kombe msimu huu, so no hurryHuu ni umburura, yaani Simba tunacheza ka ligi ni yetu? Hebu tuige spirit ya Vijana wa Pep Guadiola, sio tunaishia kuwa na majina makubwa yasiyo na faida golini. I wish Simba kwa jina na wachezaji tulonao tupige mtu kuanzia 4. Huu mpira wa kuvizia vizia tutaishia kuaibika mbeleni. Mpira kwa kushinda nyumbani tena bao 1 na kuvurunda ugenini utatutoa kamasi jamani....!!
Nikajua Ndanda tunawaogesha 6, kumbe kocha wao jana alitabiri vyema kuwa tumevimbewa na majina....!!!
Kagere kapofuka macho yote, goli halioni...Hahaha.... Wapi kagere
Halafu anajidai kumwacha Masudi Juma.Tunaanza kumhesabia mechi kocha, wee muache tu
Mzee wa jicho moko!Hahaha.... Wapi kagere