Ni kweli, tunawajua hawatujui halafu wanajiamini kupitiliza, udhaifu wao upo hapa.
Wasiwasi wangu ni uwezo wa mbinu wa kocha wetu wa kutumia huku kuwafahamu kama + na pia iwapo ana uwezo wa kuunganisha kikosi kuwa timu hiyo tarehe 8. Hii hofu inaletwa kwa kuwa kocha ni mpya, wachezaji ni wapya.