hana tabia ya kudeka huyo:Hee yule Kapombe aliyetangazwa ameumizwa sana na Said Bahanuzi mbona yupo uwanjani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
...wachezaji wa Simba kila mmoja anawajibika kufunga.Jamani msisahau Simba inaongoza kwa mabao 2 - 1,yote yamefungwa na Amri Kiemba....pale mbele Simba leo wamesimamisha Ma'pro watupu Okwi na Sunzu,lkn bado imebidi scoring ifanywe na Kiemba