watu kwa kweli ni weng na wengine wanaingia kwa wingi.........kamanda NYALUSI...nazungumza kwa kukemea rushwa kwa kusema tunatakiwa kukemea rushwa ambayo imejengwa na viongozi waliopo madarakan na ndio maana maisha magumu.
aingie na iringa vijijini bc siyo kila siku mjini tu
Msigwa Kuhutubia kila mara iringa mjini na uwanja huo huo na watu wale wale ni Insanity!
Kila siku mikutano, kazi mnafanya saa ngapi?