Michezo ya Robo fainali mingine itafanyika tarehe 8-1-2015 kwa kuzikutanisha timu za KCC ya Uganda na Polisi jioni saa 9:00 na Saa 11:Jioni kutakuwa na mchezo kati ya Mtibwa na Azam na Usiku Saa 2:00 kutakuwa na mchezo wa Yanga na JKU michezo yote hiyo itafanyika uwanja Amaan.. -
See more at: JALADA LA MATUKIO