upumbavu mliona ndio unaowafanya muwe na ufinyu wa kufiki kiasi hicho ulichonacho.kanisani huwezi kwenda ukawa mpumbavu au ukakosa elimu ya fikra kama uliyonayo .pole na tutawakimbiza sana ,hiyo ndio movement for change .magamba mkubwa wewe.watu tuko kwenye kulikombo taifa wewe unaleta udini wako hapa,tafuta wajinga wenzio hapa hupati mtu joo...pipoooo.....usifiche kitu anzia na vikao vya kanisani tuwekee humu mkuu.
Mumeo atakuwekeausifiche kitu anzia na vikao vya kanisani tuwekee humu mkuu.
sahzi viongozi mbalimbali wa wilaya na kata wanajitambulisha kwa wananchi.
kanisani watu hawana kificho wala upuuzi ulionao wewe.tupo kwenye harakati za kikomboa nchi yenye asali na maziwa.wewe udini wako ndio umaskini wako.usifiche kitu anzia na vikao vya kanisani tuwekee humu mkuu.
hapana mi nafikiri ushauri wako ungefaa sana kwa mke wa ccm kutumia masheikh, kama ponda vile ingependeza sana!mkuu mbona huku kigoma makamanda walifanya vikao na viongozi wa kanisa, nawashauri makamanda tumieni njia hiyo ya kupitia kwa viongozi wa kiroho labda wagogo watabadilika.
mkuu vip watu wamejitokeza?sahzi viongozi mbalimbali wa wilaya na kata wanajitambulisha kwa wananchi.
mkuu vip watu wamejitokeza?
sahzi kamanda john mnika kishafika na makamanda wengine na kikundi cha ngoma kinaburudisha
watu wamejitokez wengi picha nashindwa kutuma ninazo nying kila nikizi uplod
watu wamejitokez wengi picha nashindwa kutuma ninazo nying kila nikizi uplod
umetoroka mirembe baada ya manes kugoma?usifiche kitu anzia na vikao vya kanisani tuwekee humu mkuu.
Unatumia simu gani.
natumia samsung e2222
Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano
Wenye dodoma ndo sisi, tumechoshwa na magamba na tumeamua kukiangamiza, uteja kwa magamba sasa basi!
Wenye dodoma ndo sisi, tumechoshwa na magamba na tumeamua kukiangamiza, uteja kwa magamba sasa basi!
Wenye dodoma ndo sisi, tumechoshwa na magamba na tumeamua kukiangamiza, uteja kwa magamba sasa basi!
leo kutakuwa na mkutano wa chadema dodoma mjinieneo la msalato nitaendelea kuwapa Up date.sahz wafuasi wa ccm wameleta fujo wameteka kamanda mmoja makamanda walio baki 2naenda kumkomboa.