Live:Tbc1 hapa Nape Nnauye na pale John Mnyika

Nape tunajua ni CDM pale alipo anazuga mwisho wa siku atajiunga na kambi ya ukombozi
 

Sasa hapo kaka nimeelewa kosa langu!
Na nimekiri kosa langu!
Lkn kwa upeo wangu nilivyo fkiri ni kwamba haina haja ya kutuma kilichotumwa i mean nilipo kuwa nikitaka
kutuma kinachoendellea kilikuwa tayar kimeshatumwa!
Kosa lingne nimegundua kuchelea kurud!
Ila heshima za dhati kabisa ziende kwa JOGI na wanajamv walisababisha wengine waelewe!
Napia respect kwako uliyenielewesha na kunipa changamoto 4 next tym! Japo nimechelewa tena!
Nawasilisha comfusion!!
 

Vema!!

Huu ni uungwana wa kukubali unapokosolewa katika haki.

TUKO PAMOJA.
 
Kijana mmoja alikamatwa na kadi ya kupiga kura alijiandikishia mbagala alipohojiwa akamtaja Godbless Lema. mwandishi akamkatiza

Pia amelalamikia itv na tbc wanarudia mikutanao isiyo kuwa siku mkutano ulifanyika.

Cdm ni kiboko cha ccm. Sidhani kama Nape atakuwa na la maana la kusema mbele ya Mnyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…