Hebu tuwekee hapa mfano mwingine wowote ule unaoujua wewe wa live streaming ambao haufanyi buffering halafu sisi tutakuwekea live streaming ya FA ambayo haifanyi buffering!
Handset siyo sababu pekee inayosababisha buffering kutokea. Ni mfumo mzima katika network kuanzia huko wanako broadcast, hadi kukufikia. Its complicated hata ukiwa na 4G LTE bado kuna kipindi ita buff.
Ni Kweli lakini inasaidia kuna app natumia download speed ikiwa chini ya 5 mbs ni shida ikiwa zaidi ya hapo sijawahi kuona...sasa hiii ya voda si ndio wanasema inafika hadi 200
Ni Kweli lakini inasaidia kuna app natumia download speed ikiwa chini ya 5 mbs ni shida ikiwa zaidi ya hapo sijawahi kuona...sasa hiii ya voda si ndio wanasema inafika hadi 200