Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,317
- 139,036
kumbe kikwete alikuwa mwizi na mnakiri hivyoMafisadi chadema wanasema bora Kikwete, ili waendelee kutumbua nchi
Wananchi hawana hela serikali haina hela,hela inayookolewa IPO wapi,anauliza KafulilaTumbiri anazungumza kwa takwimu,hapo ndio napomuona Davie yupo tofauti
Ni kweli, mimi niliwalaani Chadema tangu walipomtimua! .MIMI SIO MWANACHADEMA, ILA NAMKUBALI SANA HUYU MTU NILISIKITIKA SANA ALIPO KOSA UBUNGE, HUWA ANAJENGA HOJA KWA DATA ZISIZO NA SHAKA.
Naangalia kipindi, Kiukweli David Kafulila ni mkweli na yuko very right kuwa serikali yetu inadanganywa na wataalamu.
Waziri wa Nishati Prof. Muhongo amelidanganya taifa kuwa kufikia 2020 kila kijiji kitakuwa na umeme wa uhakika ni uwongo, hatuwezi kufikia huko kwa sababu hadi sasa hatuna umeme wa uhakika na hii miaka mitatu iliyobaki haiwezi kutosha kuelectrify nchi nzima hivyo ahadi ya Prof. Muhongo ni uwongo wa mchana kweupe.
Amesema Tanesco kwa hivi ilivyo na mitambo chakavu na jinamizi la IPTL na mchwa wa Simbion, Agreko etc haiwezi. Labda Tanesco ifumuliwe yote tuanze upya.
Kiukweli namkubali sana huyu Kafulila kwa hoja zake.
Paskali
Mkuu unachokisema ni kweli kua mhongo anamdanganya rais na anatudanganya watanzania.Naangalia kipindi, Kiukweli David Kafulila ni mkweli na yuko very right kuwa serikali yetu inadanganywa na wataalamu.
Waziri wa Nishati Prof. Muhongo amelidanganya taifa kuwa kufikia 2020 kila kijiji kitakuwa na umeme wa uhakika ni uwongo, hatuwezi kufikia huko kwa sababu hadi sasa hatuna umeme wa uhakika na hii miaka mitatu iliyobaki haiwezi kutosha kuelectrify nchi nzima hivyo ahadi ya Prof. Muhongo ni uwongo wa mchana kweupe.
Amesema Tanesco kwa hivi ilivyo na mitambo chakavu na jinamizi la IPTL na mchwa wa Simbion, Agreko etc haiwezi. Labda Tanesco ifumuliwe yote tuanze upya.
Kiukweli namkubali sana huyu Kafulila kwa hoja zake.
Paskali
Naikubali chadema ila nahisi imefika mwisho wa kufikiri maana wanatumia mbinu walizokawa wanatumia kwa JK. Kwa utawala wa JPM ambao ni tofauti kabisa na wa JK kiitikadi,falsafa na mtizamo kitu ambacho hadi sasa chadema(ukawa) wanafeli
Wanaanza kufanya siasa wakati harakati bado haijawaweka pazuri
Wanafeli
Kafulila angeanzisha chama chake tu. Lakini kujificha kwenye shamba la dengu mgongo wote utaonekana tu. Na akijifanya msemaji sana kuwazidi akina lisu na vigogo wengine wa kaskazini mtamsikia watakavyomfanyia kitu mbaya. Awe mpole tu au aunge mkono mabadiliko ya kukifanya cdm kiwe cha lowasa na wafuasi wake walionyofoka nae Ccm harakati ambazo zinaendelea kwa sasa chini ya uratibu wa bwana mashinji wa lowasa. Legacy iliyoachwa na Dr Slaa ya kupiga Vita ufisadi na kutowajibika hakuna atakayeisimamia kwani misingi yake Imekatika. Kafulila atang'ang'ania Ishu ya IPTL peke yake. Na akizidi sana watampiga stop kuongelea ufisadi kwenye MEDIA yeye kama mwanachama mgeni wa cdm.kumbe kikwete alikuwa mwizi na mnakiri hivyo
Kafulila angeanzisha chama chake tu. Lakini kujificha kwenye shamba la dengu mgongo wote utaonekana tu. Na akijifanya msemaji sana kuwazidi akina lisu na vigogo wengine wa kaskazini mtamsikia watakavyomfanyia kitu mbaya. Awe mpole tu au aunge mkono mabadiliko ya kukifanya cdm kiwe cha lowasa na wafuasi wake walionyofoka nae Ccm harakati ambazo zinaendelea kwa sasa chini ya uratibu wa bwana mashinji wa lowasa. Legacy iliyoachwa na Dr Slaa ya kupiga Vita ufisadi na kutowajibika hakuna atakayeisimamia kwani misingi yake Imekatika. Kafulila atang'ang'ania Ishu ya IPTL peke yake. Na akizidi sana watampiga stop kuongelea ufisadi kwenye MEDIA yeye kama mwanachama mgeni wa cdm.
Hebu tupe huu utofauti w JPM zaidi ya kufunga midomo watu na kukanyaga katibaNaikubali chadema ila nahisi imefika mwisho wa kufikiri maana wanatumia mbinu walizokawa wanatumia kwa JK. Kwa utawala wa JPM ambao ni tofauti kabisa na wa JK kiitikadi,falsafa na mtizamo kitu ambacho hadi sasa chadema(ukawa) wanafeli
Wanaanza kufanya siasa wakati harakati bado haijawaweka pazuri
Wanafeli
Huo ndio utofauti nnao usema ambao ni lazima mbinu za kukabiana na aina hii ya utawala ziendane na si kutoka nje ya bunge tena, na mbinu nyingine ambazo kwa sasa hazina athari kisiasaHebu tupe huu utofauti w JPM zaidi ya kufunga midomo watu na kukanyaga katiba