kishumbaz JF-Expert Member Jul 29, 2015 905 1,244 Jul 9, 2020 #2 Sir Lindege said: Click to expand... kweli mbumbumbu fc, mnaanda lori seriously! Jifunzeni hata robo ya wenzenu wanavyofanya mambo kiuweledi.
Sir Lindege said: Click to expand... kweli mbumbumbu fc, mnaanda lori seriously! Jifunzeni hata robo ya wenzenu wanavyofanya mambo kiuweledi.
Kanali G JF-Expert Member Oct 21, 2013 9,902 14,378 Jul 10, 2020 #3 Hii timu ya hovyo kweli,wanaandaa lori halafu kocha anawagomea kupanda
Affet JF-Expert Member Jul 8, 2018 1,189 1,663 Jul 10, 2020 #4 Gide MK said: Hii timu ya hovyo kweli,wanaandaa lori halafu kocha anawagomea kupanda Click to expand... Haaaaaahaaaaa
Gide MK said: Hii timu ya hovyo kweli,wanaandaa lori halafu kocha anawagomea kupanda Click to expand... Haaaaaahaaaaa
mhuri25 JF-Expert Member Sep 3, 2016 2,667 3,455 Jul 10, 2020 #5 Timu ya Hovyooo haswaa yaan suala la Uchebe limefunika ubingwa kirahisi Hivi!!
Shadeeya JF-Expert Member Mar 12, 2014 48,328 115,336 Jul 10, 2020 #6 kishumbaz said: kweli mbumbumbu fc, mnaanda lori seriously! Jifunzeni hata robo ya wenzenu wanavyofanya mambo kiuweledi.View attachment 1501769View attachment 1501772 Click to expand... Ndio maana hawajatokea hapa. 😂😂 Wengi wanaupitia uzi kwa mbali.
kishumbaz said: kweli mbumbumbu fc, mnaanda lori seriously! Jifunzeni hata robo ya wenzenu wanavyofanya mambo kiuweledi.View attachment 1501769View attachment 1501772 Click to expand... Ndio maana hawajatokea hapa. 😂😂 Wengi wanaupitia uzi kwa mbali.
Shadeeya JF-Expert Member Mar 12, 2014 48,328 115,336 Jul 10, 2020 #7 Affet said: Haaaaaahaaaaa Click to expand... Hao ndio MBUMBUMBU mdogo wangu.