Huu ni utoto wa hali ya juu. Kwa hiyo Mungu anafanya kazi na mapepo?
Jehanamu yako hiyo iko kwenye miliki ya Mungu au ya mapepo walio na vitengo vya kutesa?
Upuuzi kama huu alikuwa akihubiri mpuuzi mmoja Wa TAG alikuwa anajiita Askofu Emanuel Lazaro. Mahibiri yake yalikuwa yamejaa hadithi kama hizi za kusadikika na alifanya utoto wangu uwe wa uoga sana. Sitakaa nimsamehe hata kama amekufa mpumbavu yule.
Alifanya hata niogope kuchinja sungura wangu niliokuwa nikiwafuga.