live interview for the post of depurty chief justice

live interview for the post of depurty chief justice

Madcheda

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
423
Reaction score
69
Kwa wale mwenye tv heb angalieni citizen tv naona watu wanao omba nafasi ya deputy chief justice wa kenya wanaojiwa live! Aise na sisi inabidi iwe hv na si rais anaamka asb anasema kamchagua flan kua jaji mkuu,IGP,cjui nn! Saiv kenya wenzetu wanatangaza watu wana apply zen interview zinaonyeshwa kwenye tv kila mtu aone!
sijui tupigane na sisi ili haya mambo yafanyike hv jaman?dahhhhhh
 
mkuu hiyo imekaa vizuri na wenzetu wanaonyesha transparency ya hali ya juu. Hapa kwetu kazi zinatangazwa watu wanafanya interview vizuri lakini unashangaa mtu anayekuja kupewa kazi. PWC wanajua kabisa kuwa Rwekaza Mukandala hakuwanayo Kati ya top three brains kwa ajili ya VC Wa UDSM au Mchechu Wa NAtional Haousing
 
Yan kma hii ya mchechu aise ni kashfa mana nasikia hta kwenye interview hakuwepo ila akaja akachomekwa na hapo nasikia PWC walilipwa kma 200M kuendesha interview!
Wenzetu wao kila post kubwa inatangazwa kwenye gazeti na zile crucial post interview zao zinakua televised ila wananchi wote waone nani kwel amepata
 
Hongera sana wadau wa JF kwa kuleta hii topic kwani hili tatizo la kubebana kwa hii serikali kumepita kiwango mfano mzuri uko pale huyu msechu ambaye hata kwenye shortlist hakuwepo lakini luhanjo former katibu mkuu kiongozi ameharibu sana kwani kwa kutumi ukabila mfano hata mama nyoni wa afya alibebwa na luhanjo mpaka amekuwa katibu mkuu.

Kuna mapungufu mengi sana angali wakurugenzi wengi Tz wanachanguliwa kwa vi-memo hizo interview za tz ni kazi bure kabisa kwani ni bora watu waanze kujiajiri badala kutegemea ajira za mizengwe kwani mfano uliohai angali TRA wakurugenzi hawa kikomo cha mikataba yao lakini serikali imekaa kimya kama vile haipo. Haya pale Postal Bank yule mzee ambaye alikuwa ceo amekaa muda mrefu japo alikuwa na miaka 75 lakini alikuwa hana kikomo na mkataba why? Ukienda pale PPF, NSSF, na CRDB mfano Kimei, Dau hawa jamaa hawa kikomo cha mikataba, hata pale PPF wakurugenzi kama Mmari, Kashimba wameongezewa mikataba kwakuwa mikataba haina ukomo kwao au tz ni shamba la bibi rais unafanya nini tume ya maadili mnafanya nini? Au kazi yenu kukamata watu wasio zungumzika kama Prof. Mukandala na wengine.
 
Yan kma hii ya mchechu aise ni kashfa mana nasikia hta kwenye interview hakuwepo ila akaja akachomekwa na hapo nasikia PWC walilipwa kma 200M kuendesha interview!
Wenzetu wao kila post kubwa inatangazwa kwenye gazeti na zile crucial post interview zao zinakua televised ila wananchi wote waone nani kwel amepata

wakuu hata the big 4audit firms zimeanza utapeli. Nina evidence sana sana ktk ajira,sasa kumechafuka si kawaida. Binafsi nimebaki na imani na CAG peke yake ila Tra,audit firms,banks, wameanza ujangili wa kusikitisha.
 
hahaha hiyo safi lakini better achague rais then waende kiti moto mbele ya kamati husika
 
Si kila post kubwa wanafanya hivyo hii ilitokana na sababu kubwa kuwa Kibaki alimteua Jaji mkuu bila kuwepo Waziri mkuu, makamu wa rais na vitu kama hivyo nilisikia kwenye BBC kama nakumbuka vizuri uteuzi ukatenguliwa ni hiyo moja tu ndo wamefanya hivyo kutokana na sababu hizo hapo lakini vinginevyo ufisadi uko palepale kwa nchi za africa angalia Mseveni yaani sijui tunakwenda wapi
 
Back
Top Bottom