Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

Samahani wadau Hivi Amis Tambwe ana goli ngapi mpaka sasa?

Toka msimu umeanz mpaka sasa ana bao 2 tu, moja akiwa na Simba la pili akiwa Yanga, Danny pamoja na ugeni wa ligi na mapungufu yake bado ana bao 3 mpaka sasa.
Yanga kweli wazee wa mizoga.
 
Hamjiamini kabisa mpaka muone hali angalau, ndio mnajitokeza. Shukuruni Yanga tupo hapa kusongesha laa hakuna kitu.

Haina shida kwani si ndiyo kazi yenu kushinda JF hata kuoga sijui kama mmeoga hapo sijaongelea kubwa na ndogo.
 
Ngapi ngapi wakuu ?, maana nipo msituni nakaza kuomba dua ili thimba itoe droo ama kufungwa kama kawaida yao. Mkuu Masuke upo wapi ?
Tumewazoea kwa dua za kilevi mwisho juu ya paa. Mliingia msituni Zanzibar tukabeba ndoo, mkaingia msituni Nangwanda mkatoka vichwa chini. Simba wakiingia msituni huko ndio kwake, leo mnachezea kichapo cha aibu.
 
Furaha yangu leo ni kuona chama langu la ukweli ambalo sikushinikizwa na mtu nilipende dar young africans inatoa kipigo kwa wamakonde wa mtwara kwa kuwapa kichapo cha magoli 4-0, Na kule Equatorial Guinea yale makubwa jinga yapewe kichapo cha maana kutoka kwa waarabu wa Algeria.
 
Mliingia msituni Zanzibar tukabeba ndoo, mkaingia msituni Nangwanda mkatoka vichwa chini. Simba wakiingia msituni huko ndio kwake, leo mnachezea kichapo cha aibu.


Dua la kuku.........?.
 
Freeland ha ha ha... mimi naambiwa hao watu wanaitwa wazee wa miba thats how they are refered jina lao ni taboo.. hutakiw kulitaja. waite tu hivyo wazee wa miba.
 
mkolaj yaani nikiona tu comments zako nakujua wewe ni mtu wa namna gani. kwa mfano wakisimamishwa watu 1000 halaf nikaambiwa onesha mkolaji yupo wapi ingawa sijawah kukuona ntakugundua tu. na ndo maana hata matimu unayoshabikia ni hayo hayo na lichama utakalo kuwa unashabikia litakuwa la hivyo hivyo. sasa subiria uone mtifu tifu wa leo na matimu yako ya kikatilikatili.... kiiintaramwe intaramwe... tutatfutana tu. jana mmekaa wenyewe mnategemea mnyama atafungwa? WE WIN WHEN WE WANT.
 

Kibao kitageuka leo
 

Kibongo bongo-yanga Majuu-Manchester united.
 

Jidanganye, huyo ni sawa na homa ya vipindi; usiku inakaba, kukicha inaachia, jioni inarejea tena. Subiri mechi yenu na Mgambo Shooting utayakumbuka maneno yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…