Swala la kufilisiwa ni kwa mujibu wa sheria, huwezi kutaka kila muhalifu ahukumiwe kunyongwa wakati hukumu yake kwa mujibu wa sheria ya bunge ni kifungo cha miaka 10 hadi 35Zile zilizopelekwa kwa rais nini kimetokea hadi sasa zaidi ya kutumbuana? Kuna hata mmoja muhusika amefilisiwa na kufungwa?
Ujui kitu nyamaza, maamuzi ambayo spika anaweza kuyashughulikia mwenyewe ni yale ambayo watuhumiwa wake wapo kwenye mamlaka ya bunge, mambo ambayo yapo serikalini spika lazima aiachie serikali, mambo ya wizara ya nishati na madini ni mambo ya serikaliBunge linasimamia nini mpaka iunde tume?
Anayeunda tume si ndio wa kuitolea maamuzi,binafsi naona ni ya bure tu.
Kamati hazijaanza leo, acha ushamba.Bunge halina mamlaka yoyote kwa watuhumiwa kwenye kamati yaani bunge haliwatii hata mafua wote waliokutwa na madudu bila uamuzi wa Rais.
Wengi humu jf ni mambumbumbu mnajadili mambo ambayo yanawazidi uwezo.
Neno "mbumbumbu" umelipenda sana.Sheria mtunge nyie,kuiba muibe nyie,tume mpange nyie na mwisho mtushirikishe.Kweli sieBunge halina mamlaka yoyote kwa watuhumiwa kwenye kamati yaani bunge haliwatii hata mafua wote waliokutwa na madudu bila uamuzi wa Rais.
Wengi humu jf ni mambumbumbu mnajadili mambo ambayo yanawazidi uwezo.
Wewe deal na kamati za harusi hizi za kitaifa kaa kushotoKamati hazijaanza leo, acha ushamba.
Bunge halina mamlaka yoyote kwa watuhumiwa kwenye kamati yaani bunge haliwatii hata mafua wote waliokutwa na madudu bila uamuzi wa Rais.
Wengi humu jf ni mambumbumbu mnajadili mambo ambayo yanawazidi uwezo.
Kwa akili yako ilivyo kubwa, kuna siku utasema hakuna kabisa haja ya kuangalia kabisa TV....Too low
Bunge mubashara sio suluhisho la matatizo ya watanzania,mlizoea kuona maigizo na mapovu tu kwa sababu mlipenda kushindana kutoa mapovu bungeni
Kazi gani wewe unafanya ambayo inakufanya uwe tofauti na hao unaosema wanalia lia?fanyeni kaz acheni kulialia midume mizima hovyoo
CCM mpuuzi weweWewe deal na kamati za harusi hizi za kitaifa kaa kushoto
mchambuzi kama wewe kujadili mambo ya shughuli live ni kuishiwa hoja tu.Kuna mambo mengi ya msingi kuliko bunge liveUwasilishaji wa report mubashara ndiyo suluhisho la matatizo??
CCM mna akili za bata.